Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Ahlul_Bayt (a.s) - ABNA - Kwa uwepo wa mahudhurio makubwa ya maelfu ya watetezi wa Gaza, Maandamano ya Kitaifa ya kuwaunga mkono watu wanaodhulumiwa wa Gaza yalifanyika huko Dublin, Mji Mkuu wa Ireland. Maandamano hayo ambayo yaliandaliwa na Jumuiya ya Mshikamano kwa Wapalestina ya Ireland yalimalizika (yaliishia) mbele ya Bunge la nchi hiyo.

10 Novemba 2024 - 19:44